Wednesday 31 December 2014

HABARI PICHA-WAFANYABIASHARA SOKO LA VINYAGO MASAI MARKET LILILOTEKETEA KWA MOTO HIVI KARIBUNI WAKIPEWA KIFUTA MACHOZI NA BENKI YA FINCA



Wafanyabiashara wa soko la vinyago  la Mount Mure Curio Craft maarufu kama Masai Market wakishangilia baada ya kupatiwa kifuta machozi cha shilingi milioni 17 na benki ya Finca ambayo pia iliwafutia mikopo kutokana na kuteketea kwa moto kwa soko hilo mwezi uliopita.Kulia Meneja wa kanda wa benki hiyo Moses Haule.Picha na Ferdinand Shayo

Wafanyabiashara wa soko la vinyago  la Mount Mure Curio Craft maarufu kama Masai Market wakishangilia baada ya kupatiwa kifuta machozi cha shilingi milioni 17 na benki ya Finca ambayo pia iliwafutia mikopo kutokana na kuteketea kwa moto Hivi karibuni .Kulia Meneja wa kanda wa benki hiyo Moses Haule.Picha na Ferdinand Shayo

0 comments:

Post a Comment