Wednesday 15 July 2015

GODBLESS LEMMA AWATAKA VIJANA KUJIEPUSHA NA VITENDO VYENYE USHAWISHI WA MAAMBUKIZI YA UKIMWI

ANDREA NGOBOLE


Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema akifungua warsha ya wawakilishi wa mashirika ya vijana ambayo yanapambana na kudhibiti ugonjwa wa ukimwi,  warsha hiyo, iliandaliwa na mtandao wa mashirika hayo katika nchi za Afrika ya mashariki, (eannaso) 

0 comments:

Post a Comment