Monday 12 October 2015

ARUSHA TOURISM FESTIVAL KUUNGURUMA NOVEMBER 21 NA 22 JIJINI ARUSHA

Bonanza la aina yake kufanyika mnamo november ishirini na moja jijini Arusha na kuhusisha makampuni ya utalii yaliyopo hapa jijini A rusha

 bonanza hili limeandaliwa na taasisiya Arusha media kwa kushirikiana na Alfredo shahanga sports promomtion zote za jijininArusha na kupewa sapoti na TANAPA, NGORONGORO CONCERVATION AUTHOITY AREA, COCACOLA, TBL TIGO BIG EXPEDITION NA KILIATIVE SOLUTION

0 comments:

Post a Comment