Wednesday, 12 August 2015

SENDOFF YA FLAVIANA MATATA YAVUTIA SANA WAKAZI WA SHINYANGA NA VIUNGA VYAKE


CUSTOMIZED DRESS from scrach….ikiwa imesimamiwa na ze stylist ROSE KOKUHILWA ‘FASHION JUNKII’
Ni kwa neema tuuuuuu na rehemaaa, ni kwa neema tuu……ndo nyimbo ilikuwa inaunguruma kwa spikaaa na mabiharusi na mwenzie akawa wanaingia kwa kunesa nesa
   

MISA YA SHUKURANI ILIFANYIKA NYUMBANI MCHANA

naturalista hadi siku ya harusi

MADAMEEE DIANA AKITUMIKA
HATIMAYE USIKU UKAWASILI BI HARUSI AKAZAMA UKUMBINI

TUKIO Lililofuata ni ufunguzi wa champagne….mambo ya cheers na nini….B12 alisimamia show
Pi harusi wakati akimsaka WAubani akajaa tumpe password aliko
MENGINEEEE TUWAACHIE BABA NA MAMA…… YASHINYANGA YALIBAKI SHINYANGA
 

0 comments:

Post a Comment