Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Bernard Membe
Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa wakati
alipowasili katika Kiwalala Kituo cha Ufugaji cha Masister cha Narunyu
ambapo ameshiriki kazi ya kukamua maziwa akiwa katika ziara yake ya
kikazi ya mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya
Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali lakini pia
kuhimiza uhai wa Chama cha Mapinduzi CCM, Katibu mkuu Kinana katika
ziara hiyo anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa,Itikadi na
Uenezi
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kukamua maziwa katika kituo cha uugaji cha Masister cha Narunyu Mtama mkoani Lindi wakati alipotembelea kituo hicho.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya Masister mara baada ya kuwasili katika kituo hicho katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.Baadhi ya Ng'ombe wakiwa katika shamba hilo. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa tanki la maji katika mradi wa maji unaojengwa katika kata ya Nyangamara jimbo la Mtama.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kitabu kinachoelezea shughuli mbalimbali zilizotekelezwa na Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Bernard Membe alipotembelea ofisi ya mbunge huyo. READ MORE KWA PICHA ZAIDI

0 comments:
Post a Comment