Monday, 1 December 2014

TAMASHA LA NYIMBO ZA INJILI LAFANA SANA JIJINI ARUSHA


Mtangazaji maarufu wa radio living water ya jijini Mwanza NEEMA NDULLU aliyekuwa mshereheshaji wa tamasha la waimbaji lililofanyika jana katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania mtaa wa MARA usharika wa Olorieni jimbo la kaskazini kati lililokuwa na nia ya kumuinua na kumsifu Mungu kwa njia ya uimbaji

Mwimbaji wa nyimbo za injili Peter Mwabulambo akiwapa burudani ya aina yake katika tamasha la waimbaji wa nyimbo za injili lililofanyika katika kanisa la KKT olorieni jana jioni

Vijana wa EZEKIEL VISION wakimsifu na kumtukuza MUNGU katika tamasha hilo

Mwibaji Abednego wa nyimbo za injili na timu yake wakiwaburudisha waumini waliohudhuria tamasha hilo la nyimbo za INJILI


0 comments:

Post a Comment