Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema akifungua
warsha ya wawakilishi wa mashirika ya vijana ambayo yanapambana na
kudhibiti ugonjwa wa ukimwi, warsha hiyo, iliandaliwa na mtandao wa
mashirika hayo katika nchi za Afrika ya mashariki, (eannaso) |
0 comments:
Post a Comment