Lile
sakata la vijana wa jamii ya kifugaji masai kuvamia ofisi ya CCM
limeyeyuka baada ya tetesi kuwa wameruhusiwa kupokelewa majina yao ili
washiriki uchaguzi wa kura za maoni
hii ni kwa mujibu wa katibu wa CCM Wilaya Abeid Maila, leo CCM wako katika heka heka za kuwachagua wawtatu watakaowania Jimbo la Kiteto
hii ni kwa mujibu wa katibu wa CCM Wilaya Abeid Maila, leo CCM wako katika heka heka za kuwachagua wawtatu watakaowania Jimbo la Kiteto
0 comments:
Post a Comment